Mzikiii ujanaa
Mzikii Ujanaa
Mziki mziki
Ujana ujana
Mzikii ujanaaa
Twaweza kufanya mengi
kufanya mengi
Ila tuna uwogaaa.
Mzikiii ujanaaa
Mziki mziki
Ujanaaa
Akili zikipita Sana maranyingi niutaila,
Nisipende fasi ya Kwanza
Ndivo aliniambia mama.
Nisha aminiya sina utajiri zaidi ya mziki
Aliye nipea jah mashahiri nyingi kichwani.
Bado nakazana napokwenda nimbali Sana naogopa tizama nyuma nako nimbali nikirudi.
Kila Niki track
Wananita kuwa mkali
Nashindwa kujiamini
Ivi ni SUPA ama ni jini?
Siyo bahati Nairobi mikuwa star
Mjini kwa wakikuyu lazima kichwa kukitesa.
Siwezi rejesha
Mda nlio poteza
Ila naweza simamisha mda wangu kuipoteza.
Kila mwanzo nikugumu Bana sana
Mengi utayakuta ndani ya mziki Wepambana.
Nairobi akuna shamba
Iki kipaji ndio Kita kupa
Nauki kichea?
Pale mbele weuta juta....
Mzikiii ujanaa
Mzikii Ujanaa
Mziki mziki
Ujana ujana
Mzikii ujanaaa
Twaweza kufanya mengi
kufanya mengi
Ila tuna uwogaaa.
Mzikiii ujanaaa
Mziki mziki
Ujanaaa
Najuwa jina latunda nasahau gisi yaku menya .
Nakula namaganda niongeze siku na muda.
Afya nikitu Bora kuliko utamu wa kitanda
Nausoma nyendo zapanya mi paka usinishangae.
Hadi ni Leo kumbe usiseme badae.
Unaitwa fundi kitanda unasifiwa na madada
Ati ukipewa gari uwezi shindwa kuendesha.
Uhm vijana bwana?
Acha ujinga
Nasikiya ata fundi wa Saa hakujuwa muda alikufa.
Ukijifunza utajuwa usipo juwa auku penda.
Iyi ni onyo siyo isiya
Njo ubadili tabiya.
Vipi ukaze kimbiya wakati haujuwe njiya.
Furaha nijuh yaku cheka.
Machozi nijuh yaku liya.
Usieleze kidhiwi kwa kinywa na haezi sikiya.
Muda siyo rafiki mwema
Ndio twakufa mapema
Vijana wanapenda Sana penda kuliko kinga.
Mzikiii ujanaa
Mzikiii Ujanaa
Mziki mziki
Ujana ujana
Mzikii ujanaaa
Twaweza kufanya mengi
kufanya mengi
Ila tuna uwogaaa.
Mzikiii ujanaaa
Mziki mziki
Ujanaaa
Mzikiii ujanaa
Mzikiii Ujanaa
Mziki mziki
Ujana ujana
Mzikii ujanaaa
Twaweza kufanya mengi
kufanya mengi
Ila tuna uwogaaa.
Mzikiii ujanaaa
Mziki mziki
Ujanaaa
Mzikiii ujanaa
Mzikiii Ujanaa
Mziki mziki
Ujana ujana
Mzikii ujanaaa
Twaweza kufanya mengi
kufanya mengi
Ila tuna uwogaaa.
Mzikiii ujanaaa
Mziki mziki
Ujanaaa