Supa lubula - Mzikiii lyrics

Published

0 90 0

Supa lubula - Mzikiii lyrics

Mzikiii ujanaa Mzikii Ujanaa Mziki mziki Ujana ujana Mzikii ujanaaa Twaweza kufanya mengi kufanya mengi Ila tuna uwogaaa. Mzikiii ujanaaa Mziki mziki Ujanaaa Akili zikipita Sana maranyingi niutaila, Nisipende fasi ya Kwanza Ndivo aliniambia mama. Nisha aminiya sina utajiri zaidi ya mziki Aliye nipea jah mashahiri nyingi kichwani. Bado nakazana napokwenda nimbali Sana naogopa tizama nyuma nako nimbali nikirudi. Kila Niki track Wananita kuwa mkali Nashindwa kujiamini Ivi ni SUPA ama ni jini? Siyo bahati Nairobi mikuwa star Mjini kwa wakikuyu lazima kichwa kukitesa. Siwezi rejesha Mda nlio poteza Ila naweza simamisha mda wangu kuipoteza. Kila mwanzo nikugumu Bana sana Mengi utayakuta ndani ya mziki Wepambana. Nairobi akuna shamba Iki kipaji ndio Kita kupa Nauki kichea? Pale mbele weuta juta.... Mzikiii ujanaa Mzikii Ujanaa Mziki mziki Ujana ujana Mzikii ujanaaa Twaweza kufanya mengi kufanya mengi Ila tuna uwogaaa. Mzikiii ujanaaa Mziki mziki Ujanaaa Najuwa jina latunda nasahau gisi yaku menya . Nakula namaganda niongeze siku na muda. Afya nikitu Bora kuliko utamu wa kitanda Nausoma nyendo zapanya mi paka usinishangae. Hadi ni Leo kumbe usiseme badae. Unaitwa fundi kitanda unasifiwa na madada Ati ukipewa gari uwezi shindwa kuendesha. Uhm vijana bwana? Acha ujinga Nasikiya ata fundi wa Saa hakujuwa muda alikufa. Ukijifunza utajuwa usipo juwa auku penda. Iyi ni onyo siyo isiya Njo ubadili tabiya. Vipi ukaze kimbiya wakati haujuwe njiya. Furaha nijuh yaku cheka. Machozi nijuh yaku liya. Usieleze kidhiwi kwa kinywa na haezi sikiya. Muda siyo rafiki mwema Ndio twakufa mapema Vijana wanapenda Sana penda kuliko kinga. Mzikiii ujanaa Mzikiii Ujanaa Mziki mziki Ujana ujana Mzikii ujanaaa Twaweza kufanya mengi kufanya mengi Ila tuna uwogaaa. Mzikiii ujanaaa Mziki mziki Ujanaaa Mzikiii ujanaa Mzikiii Ujanaa Mziki mziki Ujana ujana Mzikii ujanaaa Twaweza kufanya mengi kufanya mengi Ila tuna uwogaaa. Mzikiii ujanaaa Mziki mziki Ujanaaa Mzikiii ujanaa Mzikiii Ujanaa Mziki mziki Ujana ujana Mzikii ujanaaa Twaweza kufanya mengi kufanya mengi Ila tuna uwogaaa. Mzikiii ujanaaa Mziki mziki Ujanaaa

You need to sign in for commenting.
No comments yet.