[Intro: Cloudy 9]
Waaaoooh!
Mkwawa on a beat
Cloudy 9 Hah..
[Verse 1: Cloudy 9]
Ah, Nkiwa home Iringa Town ni Ulanzi
Sina habari na mademu wa kishenzi
I got the dough na mitikasi ipo mingi
Nakunywa ulanzi tangu shule ya msingi
Usicheze nami homie, I got the money homie
Nazitumia kwenye clubs za ulanzi homie
Cheza mbali ni hatari utaumia
Cuz nikishalewa pombe mwanzo mwisho najiachia
Waaaoooh!
[Bridge: Cloudy 9]
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[Hook: Cloudy 9]
Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi
Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi
Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi
Ulanzi, Ulanzi
Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi
Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi
Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi
Ulanzi, Ulanzi
[Verse 2: Cloudy 9]
Ulanzi my thing, Ulanzi my queen
Ulanzi make me happy every time when I'm down
I don't need stress cuz I use my cash
You can see club with my bamboo juice
A.k.a Ulanzi or moon-shine whiskey
We dance together but please don't fight
Come together lets party all night, Party
Party Party, Lets party all night night, n***a!
[Bridge: Cloudy 9]
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[Hook: Cloudy 9]
Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi
Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi
Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi
Ulanzi, Ulanzi
Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi
Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi
Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi
Ulanzi, Ulanzi, Waaaoh!
[Verse 3: Mkwawa]
Ah, Nipo Club na ghetto ni Ulanzi
Product saaaafi ya mianzi
Weka mbeta juu kwetu ndi mugaya sida
Na Lita ni mia 500 kulipa hakuna shida
Mwangata kihesa, Ipogolo Isoka, Lets go lets go
Ndi mugaya sida ni muda wa kupyatila
Mwangata kihesa, Ipogolo Isoka, Lets go lets go
Drink better, Yeah, Guess what,?
Iringa Town stand up, Ahah
Iringa Town stand up, mkwawa, Cloudy 9
Iringa Town stand up, Waaaaah!
Mkwawa, Cloudy 9
Ndi mugaya sida
[Bridge: Cloudy 9]
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
Twende sawa kama unapenda ulanzi
Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[Hook: Cloudy 9]
Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi
Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi
Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi
Ulanzi, Ulanzi,..
[Auto: Cloudy 9]
Mkwawa Entertainment, Cloudy 9
This is how we do Mayne, Waooh!
Iringa Town, So Cold!