Cloudy 9 - Ulanzi (Feat. Mkwawa) lyrics

Published

0 313 0

Cloudy 9 - Ulanzi (Feat. Mkwawa) lyrics

[Intro: Cloudy 9] Waaaoooh! Mkwawa on a beat Cloudy 9 Hah.. [Verse 1: Cloudy 9] Ah, Nkiwa home Iringa Town ni Ulanzi Sina habari na mademu wa kishenzi I got the dough na mitikasi ipo mingi Nakunywa ulanzi tangu shule ya msingi Usicheze nami homie, I got the money homie Nazitumia kwenye clubs za ulanzi homie Cheza mbali ni hatari utaumia Cuz nikishalewa pombe mwanzo mwisho najiachia Waaaoooh! [Bridge: Cloudy 9] Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi [Hook: Cloudy 9] Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi Ulanzi, Ulanzi Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi Ulanzi, Ulanzi [Verse 2: Cloudy 9] Ulanzi my thing, Ulanzi my queen Ulanzi make me happy every time when I'm down I don't need stress cuz I use my cash You can see club with my bamboo juice A.k.a Ulanzi or moon-shine whiskey We dance together but please don't fight Come together lets party all night, Party Party Party, Lets party all night night, n***a! [Bridge: Cloudy 9] Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi [Hook: Cloudy 9] Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi Ulanzi, Ulanzi Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi Ulanzi, Ulanzi, Waaaoh! [Verse 3: Mkwawa] Ah, Nipo Club na ghetto ni Ulanzi Product saaaafi ya mianzi Weka mbeta juu kwetu ndi mugaya sida Na Lita ni mia 500 kulipa hakuna shida Mwangata kihesa, Ipogolo Isoka, Lets go lets go Ndi mugaya sida ni muda wa kupyatila Mwangata kihesa, Ipogolo Isoka, Lets go lets go Drink better, Yeah, Guess what,? Iringa Town stand up, Ahah Iringa Town stand up, mkwawa, Cloudy 9 Iringa Town stand up, Waaaaah! Mkwawa, Cloudy 9 Ndi mugaya sida [Bridge: Cloudy 9] Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi Twende sawa kama unapenda ulanzi Weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi [Hook: Cloudy 9] Nikiwa Club V.I.P ni Ulanzi Nikiwa Club Larpate ni Ulanzi Nikiwa Home Iringa Town ni Ulanzi Ulanzi, Ulanzi,.. [Auto: Cloudy 9] Mkwawa Entertainment, Cloudy 9 This is how we do Mayne, Waooh! Iringa Town, So Cold!

You need to sign in for commenting.
No comments yet.