Ze bato16 - Maya lyrics

Published

0 286 0

Ze bato16 - Maya lyrics

Ze bato b sixteen bartmeo.......... ....chorus...bartmeo Ulinikabidhi imaya yako Nikauweka wazi moyo kwako Alinijua paka mama yako Akakubali niwe mume wakooo Nilidhani unanipenda "maya" Umenitenda "maya" Umetonesha kidonda "maya" ....vers ze bato16 Baby mbona umeniacha nyumbani Kumbuka ilivosema kanisani Me niwako uwezi kuniacha Tatizo ni nini paka leo umeniacha Nilikuita mamy ukaniita daddy Sikukutamani nikakuweka ndani Tatizo nini oh bby why me Nikikumbuka tatizo kichwani haiingii Uliniacha alone cheki! Uliniona sifai eti! Unataka watoa check! Alafu mi uniweke bench! ......no way out...... Unamapenzi ya kweli bora ni sugn out Usinipe maradhi kwanza we get out Listen to me usiniite baby Unachako humu ulikuja na bag ......chorus bartmeo again..... ....vers two ez bato16 Nimesha vumilia sana hii time na give up Nimesha umia sana moyoni ngoja ni sign out Mapenzi gani kila siku maajabu shida tabu Hakuna furaha nawe ndo sababu Kuishi bila wife daima takua first Kila nae muamini tatizo hakuna best Wote wako sawa wanacopy na kupaste Siitaji wife d naitaji kurest Mapenzu ya mbali hafifu who say never Kwanza jifunze arifu ujekua clever Mamilion watu wana chit tu forever Siitaji wife mamy and daddy I say never I hate you hii time imebidi Bora ungekunywa pombe ila uansmoke weed Sikutaki teana usije ghetto Usijesababisha niingie sero Kwako sina uruma Zaidi ya tero .....chorus...and brg chorus..... Outro.. Yeah! kbn star is in da bulding umezingua nimekuacha kwa makusudi Yooo! wananiita b sixteen swax president along side bartmeo you know what am say D touchz I see you meneja king saly and my boy tonee and I see you chollo gangsta kbn is in ......am out

You need to sign in for commenting.
No comments yet.