Wiista - Naiye lyrics

Published

0 486 0

Wiista - Naiye lyrics

Mmmh, Elly da bway on the beat*2 Chorus: NAIYE bila we sina raha, NAIYE bila we ni karaha, Urefu wako wa shingo, Mwendo wa maringo, Usiniache single, Ukawafata wenye bingo, NAIYEEE mama nitaumia moyo, mimiii aaaa Verse; Roho yako ya bahati, Na upole wa farasi, Jicho lako la samaki, Kamwe hawakupati, Sweety kiuno chako kama dondora, Nalia na nafsi yangu namwomba mola, Mpole na mwenye heshima my love, Nishakupa moyo wote you know, Penzi lako ni la dhati, Na halina masharti, Limenivaa kama shati, Kamwe hawakupati Chorus: NAIYE bila we sina raha, NAIYE bila we ni karaha, Urefu wako wa shingo, Mwendo wako maringo, Usiniache single, Ukawafata wenye bingo, NAIYE mama nitaumia moyo, mmiiii aaaa Verse 2: Gubika gubua, we ndo wa ndoa, Pika pakua lazima nitakuoa, Nakusaka saka saka sikuoni, Eti kumbe uko hapa, embu wacha utaani, Unavyodeka deka deka deka kifuani, Unanifurahisha rohoni, Gubika gubua we ndo wa ndoa, Pika pakua lazima nitakuoa Chorus: NAIYE bila we sina raha, NAIYE bila we ni karaha, Urefu wako wa shingo, Mwendo wa maringo, Usiniache single, Ukawafata wenye bingo, NAIYE mama nitaumia moyo, miii aaaa BRIDGE: Baby here they and they go, And you are the only my girl, You put me on top of the world, You making me feel like i own it all (you are my lover eeh*2) Chorus: NAIYE bila we sina raha, NAIYE bila we ni karaha, Urefu wako wa shingo, Mwendo wa maringo, Usiniache single, Ukawafata wenye bingo, NAIYE mama nitaumia moyo, mimiii aaaa*2 Outro: Yoh, Its your boy Wiista, I love you girl, i love you, I had to do it for you, My Loove, NAIYEE

You need to sign in for commenting.
No comments yet.