Wakazi - Chafu lyrics

Published

0 447 0

Wakazi - Chafu lyrics

[Verse I: One The Incredible] You know we bilingual, a n*gga spit track with sling flo A n*gga think black, kick rap no ringtone So seat back, pop six packs Zigzag roll thick hash, chit chat, the kid's gone Hakuna matata, hakuna mashaka Chata kama puma, Lion King nina vuma machaka Sukuma biashara, mtumwa yuko nyuma ya msafara Ukihisi umeshiba faida, umekula hasara Rap-a-holic, napenda buzz nawapa mori Nna shorty mtata, kila nikichapa atawapa stori Moko Mic King, noti kwenye ____ thing Nna mtoto mtamu anaependa kulambwa zaidya ice-cream Are my sixteens witcha? Since sixteen, a sick teen my sixteen's vicious I spit mayne, i'm sick mayne, sh*t that kid BIG You mofos* should see it, big screen picture [Hook: One The Incredible, Nikki Mbishi, & Wakazi] You know we bilingual Kwenye mingle time, Emcees wanakufa kila single line I got those hot 16s ____, My rap flow's impeccable Usiulize mfunga magoli ni yupi, Bylingual Beast Naroga kila verse, Navuta mashabiki kama gravity Whitedent Rap, so i hope there's no cavity [Verse II: Nikki Mbishi] Kama haifai, siitaki Mbishi old skool, bagamoyo road, mtoto kapite mwai kibaki Toa chai, chipsi yai na mishkaki Nigonge madenti mpaka iwe nishai kwa FATAKI Kwenye mingle time, Emcees wanakufa kila single line Rapper simu tochi, mashaka ukiwapa windows ___ Naroga kila verse, mwoga una roho nyepesi Tetesi na soga, powda ni kesi, oga kinyesi Yeah, Dogo mwenye utundu sikia Naona unasifia wazungu wanao ni zungumzia Sioni chenye utani-punguzia Inachekesha, najisahaulisha kuwa busha ni pumb* pia Yo, papaa nikki mbishi, mobutu sessesseko Kila napo kanyaga tetemeko ____ Navuta mashabiki kama gravity Whitedent Rap, so i hope there's no cavity [Hook: One The Incredible, Nikki Mbishi, & Wakazi] You know we bilingual Kwenye mingle time, Emcees wanakufa kila single line I got those hot 16s ____, My rap flow's impeccable Usiulize mfunga magoli ni yupi, Bylingual Beast Naroga kila verse, Navuta mashabiki kama gravity Since sixteen, a _____ my sixteen's vicious [Verse III: Wakazi] I change flows like i change clothes Throwback to _____, a 3 piece suit like my name Hov I got those hot 16s ____ My rap flow's impeccable, remarkable I use my third eye and sixth sense Welcoming y'all, back to the future of this past tense Rap CNN, hot news we rap 'em And make em got nuts wit out cashews or nuthin' Bylingual Beast, a horny beberu, Wakazi Lyrical feast, i'll be eatin Mcs and probably We kinda buzzin, leave damage to your cerebellum Kiungo wa rap, niite David Mwakalebela Usiulize mfunga magoli ni yupi Cause lyrically, ni mimi ninae wavua chupi Nazaa matunda, na wewe unayala kama Hawa Njoo nikutoe ugumba, ukificha uchi muda wa kulala

You need to sign in for commenting.
No comments yet.