Wahu - Sitishiki lyrics

Published

0 336 0

Wahu - Sitishiki lyrics

Verse 1 this man think he's a ca**anova this man think he's a operator why lie the man he is fly but mambo yako yaboesha showing off with his fancy cars showing off with his fancy house kosa lako kosa ni moja wafikiri wanitisha Bridge sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi sitishiki sizubai hizo hela zako hazi... Chorus sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako hazinitishi sizubai hunizubaishi na hizo hela zako hazinitishi Verse 2 anicheki chini na juu asema I'm fine and s**y too so he buy me a drink or two and expect me to go home with you songa nyuma take a good look songa mbele pole pole chunga brother usiteleze skiza basi nikueleze Bridge sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi sitishiki sizubaihizo hela zako hazi... Chorus sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako hazinitishi sizubai hunizubaishi na hizo hela zako hazinitishi sitishiki wewe hunitishina hizo hela zako hazinitishi sizubai hunizubaishi na hizo hela zako hazinitishi Verse 3 my girls in the disco my girls on the radio my girls if you hear me why don't you say so my girls in the disco my girls on the radio my girls if you hear me why don't you say so my girls in the disco my girls on the radio my girls if you hear me why don't you say so sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako hazinitishi sizubai hunizubaishi na hizo hela zako hazinitishi

You need to sign in for commenting.
No comments yet.