SUGU Jay - Karo lyrics

Published

0 236 0

SUGU Jay - Karo lyrics

[Chorus] Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo Nilikupa roho Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo [verset 1] Ndugu zako wanadai sikupendi Eti msani, mimi nakudanganya Wanadai sina mapenzi kwako Eti ntakuumiza mama Wanatowa mifano ya wenzangu walowachana na wao [Chorus] Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo Nilikupa roho Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo [Verste 2] Wanadai nikizipata eti mama nitakutupa Hawajui tulipo toka vipi wajue tunapokwenda, mama Roho, ina samani zaidi ya bahari Inazidi wanaopana hummer Moyoni hawana mapenzi Moyoni hawana mapenzi ya kweli Moyoni hawana mapenzi [Chorus] Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo Nilikupa roho Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo [Verset 3] Yeah, mapenzi ya kweli Hayapimanishwi na chochote Ni zaidi ya alimasi,ni zaidi ya dhahabu, zaidi ya bahari Nilikupa roho,ni zaidi ya kila kitu Anayekupenda, akupe roho sio mali Yeah, umesikiya mziki wa wakubwa Sugu Jay Tishio navo bembeleza Katika hii beat alogonga Herry This dedication kwa wale wote munajua maana ya mapenzi Maana ya kupenda Love is everything Kama unampenda anaye kupenda Yeah [Chorus] Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo Nilikupa roho Nilikupa roho sintokunyima karo,karo Oh, mpenzi Karo Respect Prosper Savonor Thanks Boss For lucky for me

You need to sign in for commenting.
No comments yet.