SUGU Jay - First Love lyrics

Published

0 296 0

SUGU Jay - First Love lyrics

[ Chorus ] Siwezi penda kuona unaondoka unaniacha mwenyewe Ntakosa raha Siwezi penda kuona unaondoka unaniacha mwenyewe Ntakonda maa My first love My first love baby My first love My first love My first love queen My first love My first looo, My first looo oh oh [ verset 1] Maa mi na we forever Wazamani wote it over Usipate uwoga mi ni kama nimerogwa Mapenzi matamu zaidi ya adamu na eva Bustani hii sintokula tunda lilokatazwa never We ni mzuri zaidi ya wote Mrembo kuliko wote wenye sifa zote Kama olympic basi wakupe tunzo zote Oh ceupe nyoosha kidole nikvishe pete Wanataka nikuache nikutupe wapate wapite Wakuite kicheche mapepe No no no no we ni wangu wa siku zote Baby baby tutakwenda popote We ni mzuri mwenye penzi la kweli Siyo kama wale wapanga dume katafiri Wapangiwa masaa wapishane kama gari We unanijali njo tuchangiye safari Tusitupane kati ya bahari [ Chorus ] [ verset 2] Naweza poteza magari ajira nyumba siwezi penda nikukose No no no no no , be be baby We ni mzuri wa sura na tabiya Anaye kuifazi ana mali ya kujivuniya Mi nina bahati nimempata penzi ambaye siyo msaliti Mamy you are the first mwengine simtaki Ah I love so much Naona wivu ata kaka yako akikutouch Kama hindi natamani nikuimbiye ata nachi Kaona pyara hei, kuchikuchi nei Mwenye kulinda penzi kama mari mar Baby baby unajuwa mapenzi Baby baby uajuwa malezi Baby baby we sio chizi Apo ndo tayari nimeshafika Ata waseme mi sintokuacha Nina asali vipi nilambe shubiri Nitakuweya shuka mu baridi Ndoto nzuri zitazo kufariji Mamy, honey, sweet, mpenzi, chérie Sijui nikuite nani [ Chorus ] (x2) Sikiliza kazi ya CELEBRITE MUSIC Jimmy, Obama Kianza wa kwanza Sheriff Sikiliza flava My first love My first love baby My first love My first love My first love queen My first love My first looo, My first looo oh oh

You need to sign in for commenting.
No comments yet.