Sauti Sol - Mapacha lyrics

Published

0 478 0

Sauti Sol - Mapacha lyrics

mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi, usinilenge mi malanga aa, sina mengi mimi nina shairi mashairi chorus oooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika we uje nizalie musichana nami nikupe wewe kijana penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu! chorus

You need to sign in for commenting.
No comments yet.