Sauti Sol - Lazizi lyrics

Published

0 880 0

Sauti Sol - Lazizi lyrics

Verse 1: Lazizi wangu we Zawadi nono kutoka mbinguni Nakuwaza my baby ( Nakuwaza my baby) Nikikuwaza usiku silali Chorus: Nikikuona na wengine nashikwa na wivu Naomba unipe number yako nikuvutie wire Nikupeleke Java Tunywe kahawa Tukizubaa dubaa dubaa Verse 2: Mukhali wanje we Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby) Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye Chorus Bridge: Zunguka zunguzukane Nikitafuta kama wewe Mi nafeel so nice Unanipa mi amani Mbele Baby Sioni njia bila wewe wewe...eeeh Lazizi Chorus Mazoe manana (Mazoe manana ah) Kadonangaeuta na lola, Na Kanisakayo sheri nanga Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi) Chorus

You need to sign in for commenting.
No comments yet.