Sanaipei Tande - Najiuliza lyrics

Featuring , ,

Published

0 563 0

Sanaipei Tande - Najiuliza lyrics

Najiuliza nimpende nani salima ili mmoja arudi anumbani salama naiiuliza numpende nani salima ili mmoja arudi anumbani salama Oleh oleleeh eh oleleeh oleh oleleeh oleleeh Oleh oleleeh eh oleleeh oleh oleleeh oleleeh Kinanda nitapiga uweze kutulia hata ukienda mbali uweze nisikia moyo wangu juu juu pressure inashuka na kupanda mama anataka wajukuu oh baby i love you sioni sababu ya kuishi mwenyewe bibi na babu ndo mfano uelewe Salima Salima Salama eh yerere yerere najiuliza nimpende nani Salima ili mmoja arudi nyumbani salama najiuliza nimpende nani salima ili mmoja arudi nyumbani salama Oleh oleleeh eh oleleeh oleh oleleeh oleleeh Oleh oleleeh eh oleleeh oleh oleleeh oleleeh wivu mapenzi jicho siwezi fumba kwako siwezi upepo umenikumba usije ukanyanyasa moyo mwenzako nimeumbwa na choyo sidanganywi kwa nyumba na toyo nakupa moyo wangu sikuachi mama moyo sikuachi roho sikuachi nakupa peke yako sikuachi mi ni wako sikuachi na wa peke yako sikuachi wa ubavu wako najiuliza nimpende nani salima ili mmoja arudi nyumbani salama najiuliza nimpende nani salima ili mmoja arudi nyumbani salama mapenzi usije changanya ukazuga ukanidanganya tunza roho yangu chochote nakupa nile peke yangu nibaki mifupa sitoweza kukuacha sitoweza sipigi nang'ata baby your my sweetie apple baby yooh nitakuja tuishi keko mwenzio ooh Salima Salima Salama eh yerere yerere najiuliza nimpende nani Salima ili mmoja arudi nyumbani salama najiuliza nimpende nani salima ili mmoja arudi nyumbani salama

You need to sign in for commenting.
No comments yet.