Samuel Mutaki - Wenzangu Kwaherini lyrics

Published

0 289 0

Samuel Mutaki - Wenzangu Kwaherini lyrics

Ni kwaheri, wenzangui, wa Kawala, kwitu musyi, Mi naenda mjini oh, kushughulika na pesa x2. Mi naenda, mjini oh, kutafuta, mapeni ya, Maisha yajayo ya keshoi, watoto na bibi yangu x2. Tegemeo, la sisi-eh, wakaaji wa mashambani oh, Ni miunda nayu ina uvaa, mwanasa twende mjini x2. Mi naona mashambani eh, hakuna cha kuvuna oh, Anasa twende mjini eh, tusilemewe na maisha x2. Tukifikia mjini oh na tufanikiwe kikazi, tuwakumbuke wazazi, watotot na bibi zetu x2. Sio kama, wengine eh, wanapofanikiwa oh, Wanawasahau kabisa oh, nyumbani baba na mama x2.

You need to sign in for commenting.
No comments yet.