Salmin Swaggz - For the hood lyrics

Published

0 530 0

Salmin Swaggz - For the hood lyrics

[Intro] We come alive (come alive yow) You get it straight Yeah [Verse 1] Hauna haja ya kwenda kule ka unaona uko safe here Wanakimbia sana shule but they get themselves here Usiwaze kuhusu mimi ubongo wangu ni bright spear Hata kama sitachana mi bado utanisikia Na bado watanisifia kina Brit kina Spears Na hii, ndo inaowafanya wanao-fake wana-fear Na mi, ndo mgeni wa Honor so you guess who is here Naishi kwenye Mars na nikire-birth Tanzania Njia zangu ni ngumu na huwezi kupita ka huna nia Nafungua pazia wanabaki tu kuskilizia Walinipania leo wanakesha wakinisifia Swagger ziko mia so sina pressure ukinichukia Sina beef, nimesettle na beto like how I'm living Na usiponikuta Ghetto safiri, ni kwenye sky chlling I wonder wangapi watalia that I'm leaving I'm k**in' then disappear and you can't see me like your boy Steven [Hook] We (do it) x2, do it for the money Do it for the streets, do it for the hood We do it do it, do it for the money (T-shillings) (One for the money) [Repeat] [Verse 2] They came out with the best idea Kua hili beat liko poa hata kufreestylia What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia Wanga walinifumba macho but I'm still right here Nna kiraru kama niko kwenye Need For Speedy I'm out here mbali got them out so greedy Wanahofia ntaposmama kama freestyle Biggie Huwezi kuchana motto wa mama niko zig-zag-ziggy Naona beat liko black, niko back bila playback, stay back Ni**as walidiss toka wayback Cla**ic, line zinasmama kwenye traffic I'll make your future disappear *Wallah* magic Mdundo koko mdomoni mwa mnyama-nyika Ukishapendwa na watoto unashtuka umeteka rika Unachana kitoto kamwe haunikuti na imeandikwa Flow zangu ni moto ka una mkono kuti huwezi shika [Hook] We (do it) x2, do it for the money Do it for the streets, do it for the hood We do it do it, do it for the money (T-shillings) (One for the money) [Repeat]

You need to sign in for commenting.
No comments yet.