Chorus Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Verse 1 The mic is in my hand mfukoni na mbachu madame kadhaa jamaa leo ntakwachu si kama kawaida kwa wengine ni ajabu Kiswahili kitambae wote wanifahamu na kama huelewi shika kamusi babu usiogope saa zingine Kiswahili ni taabu but weka bidii basi weka nidhamu uelewe hii maana na uelewe sababu ya msanii mwenye akili timamu niki-rap maneno yanayochonga fahamu kweli mwenda pole hajitegi jamaa waliodhani wako mbele wako nyuma jamaa Chorus Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Verse 2 mi hunoki ma-bad girl madame wenye cla** madame wenye pesa na figure na a** usicheki kama hauelewi hii grammar kama hukunipata basi narudi tena mi hunoki ma-bad girl madame wenye cla** hawachelewi na time akitokea ni dime basi shika hii glasi hebu cheka kiasi amkeni tu-party Pinye yuko ndani DJ washa taa wacha watu wabanjuke weka speaker na ba** mpaka speaker ipasuke mi huimba ragga lakini leo nime-switch ka mafala hawashiki basi leo wata-flip toka zama za kale kama mawe za Kwale nimekomaa kwa hii mchezo mimi ni mnare maneno magumu kama tofali usiwachezee wale waliokufunza wewe kamare samahani mi sina utani ile ya ndani na ma-haters wakistua mimi naweka imani kwa mafans wangu kamili inua glasi Chorus Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Verse 3 Najua mna-feel fresh vibes ndio niki-flow na hii style ndio vitu mpya nawapa au sio Dutty sounds we lock it au sio Najua mna-feel fresh vibes ndio niki-flow na hii style ndio vitu mpya nawapa au sio Dutty sounds we lock it au sio Chorus Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu Shika glasi weka barafu miminya kinywaji inua kwenye mashavu leo ni leo msema kesho ni bafu wakitaka wasitake game yangu ni chafu