OMG Tanzania - Nikipata Gari lyrics

Published

0 232 0

OMG Tanzania - Nikipata Gari lyrics

[Intro: Young Lunya] Benz ama, Vogue ama, Range ama Nikipata gari iwe Benz ama, Vogue ama, Range ama (n***a) [Verse 1: Young Lunya] Nikipata gari ntaball kinoma Nikipata gari, ntakua nakula mabata kinoma Nikipata gari nitakuwa tozi Nikipata gari, mpaka bebe ntaziletea pozi Nikipata gari nitang'aza Nikipata gari, kuchange mabata masaa kadhaa Nikipata gari nitaringa Nikiwa napanda kwenye gari yangu nitalean back (waya) [Chorus: Young Lunya & Deddy] Bebe anataka gari, wauni wanataka gari Masela zangu mtaani nao wanataka gari Sheshe anataka gari, Country anataka gari Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima Nitaball kinyama yaani [Verse 2: Con Boi] Got my 2Pac back, hairstyle you know that Bad girls talk a lot of sh** I did voice call they record it Lame n***as hating I know, Dar nzima I know Pull up kwa pusher Kichwani nina map ntaenda kote kila kona ya Dar Pembeni mtoto mkali looking s**y in the car Mangoma ya kinyamwezi mpaka mtoto anasmile Bata wapi ntaweka wese sio curse And I won't delay, all day errday Tuna get paid, bata, kila siku, usiku, tunaball mzee Nikiwa na machizi ni hot bugs Mpaka ushushe vioo, macho mekundu we blow Moving paper we throwing huh [Chorus: Young Lunya & Deddy] Bebe anataka gari, wauni wanataka gari Masela zangu mtaani nao wanataka gari Sheshe anataka gari, Country anataka gari Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima Nitaball kinyama yaani [Verse 3: Salmin Swaggz] Bado sijaipata but talking bout my life I only ride her out for a day, and now she's trynna be my wifey Ntaacha gumzo where I stay wachache ndo watakua my type And they'll be like.. (heeell yeah!!!) Nikipata gari ntafuta mapozi, nitembee na bonge la sista duu Na drift tu ka mabitozi, mia thelathini ila s'tini mi sita do Na bonge la chupa la champagne, utafkiri tunafanya campaign Hawapandi maboya, demu ka LaToya, Oya! Tairi inasustain Bagamoyo ni half an hour, nitaacha turbo zimejigawa Mzigo utapaa kaa kaa kaa kama nimefunga mbawa Try to be what I be, nikipata tu it's not me Ningekupa keys, my n***a please, but you don't see what I see, No keys [Chorus: Young Lunya & Deddy] Bebe anataka gari, wauni wanataka gari Masela zangu mtaani nao wanataka gari Sheshe anataka gari, Country anataka gari Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima Nitaball kinyama yaani

You need to sign in for commenting.
No comments yet.