OMG Tanzania - Uongo Na Umbea lyrics

Published

0 777 0

OMG Tanzania - Uongo Na Umbea lyrics

[Intro: Young Lunya] Hii ni kwa wale wana wooote waongo waongo na wambea Let's get 'em [Verse 1: Salmin Swaggz] Tangu naanza kua nilijijua so nikaanza jiepusha na umbea Nna jopo la washkaji waliozingua kisa tu walinijua So nikaona maisha sio fair Huku nakimbizana na Mr. On Air Huku napambana walishaniotea Sawa ingawa nachana vya maana tofauti sana na jana Kipindi nafanya "Pana" walicompare? Haah Nah Unawaambia washkaji sio msafi niko solo Na gari sina mwendokasi niko doro Ndo maana hata babes wakali hawanifollow Au nna kasoro? Gotta know, it's like Mi nataka ukahadithie pia story hizi naandika mavitu yanatoka kichwani sio ya wizi Afu sina muda maana kila siku niko busy siwezi hata kulala nyumbani mama ananiona chizi Mshua ndo ananiona popo, giza Main chick mara, "ooh utaniliza" Napiga chops kama local pizza, wananiuliza... sh** [Chorus: Barakah The Prince] Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea Ya uongo na umbea x 2 Uongo na umbea, umbea Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4 [Verse 2: Con Boi] Nikich*moka maskani najiona niko vitani Na unaweza kuona ni utani maana hata vita ni fani Tangu tunaenda kwa Banny zile CD tuna-burn Halafu tunarudi nyumbani hakuna CD player Leo nimetoka n***a anataka play fair How fair? Shopping zangu ni Mayfair Nikishtuka chai zangu ni Protea Niko na machizi so please I don't care, sh** Na mbona hatukuoni au you broke nowadays Lame n***as whatchu know about games Trynna overtaking eMCeez k**er verse now your rap is crazy Wao wanaona i'm faking Mimi ninajiona i'm straightin' Wakiongea sh** about us, siwasikii 'cause najua deep inside i'm repping [Chorus: Barakah The Prince] Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea Ya uongo na umbea x 2 Uongo na umbea, umbea Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4 [Verse 3: Young Lunya] Mic check one four yani bounce,ni bounce (yeah utawaskia) Nna mtoto mkali kala chepe, blouse chini Vans (yeah utawaskia) Kitambo niko street sitoki kama Swaggz bwana Salmin (yeah utawaskia) Na naball you know mi ni chaf n***a ubavu kuna brown chick Na kama ipo seat kwa wanaoweza kuchana Nitawaficha sana (Woooh!) Na kama ikiwekwa beat na ukashindwa kuchana Utazomewa sana (Woooh!) Na kama unaishi street na ukashindwa kuwa straight na mareal n***as Ambao tunakeep it real na kuanza kuchekacheka kutwa unashinda kuungama kama gay n***a Mji ka L.A you get shot n***a, (tutututu!) Maana, kuimba kama mimi pia huwezi Ukiambiwa uimbe nyimbo zangu mimi pia huwezi Ukiambiwa fanya kazi unachagua kazi ngumu pia huwezi Unachonishangaza mpaka kuomba Mungu napo pia huwezi Yo n***a, you ain't serious man [Chorus: Barakah The Prince] Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea Ya uongo na umbea x 2 Uongo na umbea, umbea Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4 [Outro: Con Boi & Barakah The Prince] Haha, we just say goodbye to the bottom And hello to the top, that's a low life lifted man OMG that's the major key Put your hands in the air if you hate when the haters trynna hate yo f** what the haters say!

You need to sign in for commenting.
No comments yet.