OCTOPIZZO - Utanisho lyrics

Published

0 677 0

OCTOPIZZO - Utanisho lyrics

[Verse 1] Naskia bado kuna marapper wamestick kwa cypher Zangu nikutoa soundtrack za sci-fi Waresh wenyu nimewageuza free Wi-Fi in short nalog in bila kutumia pa**word Mi ni ule boy anakutukana bila kutumia curse word Pesa otas n***a, naenda nazo choo ka nimekazwa Still sick nipate booth, ka nimelazwa Ati ulidanganya unajulikana majuu, hao walikuwa wasee wa Naswa Bila beat n***a, kujeni na Pinye bado nitawabeat n***a Hii ni hit n***a Mr. Lighter Flames, I'm lit n***a Stop feeling some typa way, hommie kwani hujui mi ni rich n***a Na mresh wako ameshinda akiniflash, you wanna know why, coz I'm the sh** n***a [Hook] Utanishow what? Utanisho? Utanishow what? Utanisho? Utanishow what? Utanisho? Utanishow what? Utanisho? [Verse 2] I'm going in ni ka kuna curfew, apart from me mi huskiza marapper ka few Hii si SportPesa huwezi bet Na ambia siz yako hata akikunya calendar siwezi m-date Na-stand out buda ka watchman, in short vitu niko nazo huwezi get Hold up! Najua hiyo line hujai-get Sijawahi chelewa sijawahi come late Nimetoka vacay ndio nime jet in Hakuna vacancy siwezi ku-let in Niko kwa pharmacy, zangu ma-peddling So sad hata akina Pendo sikuhizi hawakupendi So zidi kukula moto ka acrobat Unapunguza weight kwani uliacha kutumia [?] Bonga na mi, chonga na king Songa na mi, kamisha bling, Pizzo kwa ring [Hook] Utanishow what? Utanisho? Utanishow what? Utanishow nini bana? Utanishow what? Utanishow what? [Bridge] Utanishow nini bana X3 Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: NO OCTOPIZZO NO PEACE Ni hii sheng ndio ilinibuy-ia shamba, ni hii sheng Ni hii sheng ndio ilinibuy-ia nyumba ni hii sheng Ni hii sheng nilipata wangoso na hii sheng Ni hii sheng nilipandaga ndege na hii sheng Ni hii sheng nilihamaga ghetto na hii sheng Ni hii sheng nilibuy-ingi gari na hii sheng [Hook] (Utanishow nini bana) X3 Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: NO OCTOPIZZO , NO PEACE (Utanishow nini bana) X3 Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: NO OCTOPIZZO, NO PEACE (Nilikushow we ni fala) X3 Juu kila ngoma unatoa maze siku hizi inakuwanga tu ni diss (Nilikushow mi ni hustler) X3 Ilianza na ka-CD siku hizi si hu-spin Mercedes

You need to sign in for commenting.
No comments yet.