O-mae - Sinanga Limits lyrics

Published

0 839 0

O-mae - Sinanga Limits lyrics

Https://soundcloud.com/kennah-1/kennah-sinanga-limits Artist: Kennah Song: Sinanga Limits Year: 2013 Mobile: 0727 266 009 Language: Kiswahili INTRO: Huh Ba**lyn Embakasi Nakucheki Bwana Q Lego... VERSE 1 LYRICS: Natoka ile mtaa madem ndio watakuslice Playwise na ukilalia maskio pumpum ndio size Nipate kwa bench na Koinange na capital ndio talk All Kenyan all the time niko kwa routine ka clock So ka time is money nabuy time adharani Ndio ka Swaleh mtaani niache wakitafakari So for now let's talk sense always on point Na ukileta pang'ang'a kaka nitakudissapoint Tangu waskie mi na Kirubi kuna miradi tunashare Wenye walinikemea naskia sa wamelegea So kwa biz I'm never in a rush nina cla** Plus test of time ulizia nilipa** Nang'ang'ana nipata kakitu kaka na si funny Jina kubwa uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari Huh IKO NINI KAKA CHORUS: Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Vile najua kaka sinanga limits Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Ka ni biz ka ni mzikii X2 VERSE 2 LYRICS: Kwangu bisha hodi hiphop ishalipa kodi Ikuwe leo ama siku za usoni flow ni ngori Ju mi sioni njia nyingine tofauti ya kutoa maoni Number moja kwa game nazidi na sikomi So mi ndio nawalk the talk daily kuwarock Na ukiskia nimerudi nyuma labda na moonwalk Iko nini kaka nilisaka nikapata Wakibonga siku hizi niko like jaza meno kwanza Kaka yes life is funny ishi poa na jirani Kesho ukikosa mgawane chenye kiko mtie ndani Walidhani wamefika sa wanashtuka vile nasifika Vile nawashika na tena vile nina wafuasi twitter So bado nang'ang'ana nipata kakitu kaka na si funny Jina kubwa uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari Yeah IKO NINI KAKA CHORUS: Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Vile najua kaka sinanga limits Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Ka ni biz ka ni mzikii X2 VERSE 3 LYRICS: Ok zeros kwa payslip nina mshahara Tax kafanya generation flani kaparara Kwenye grind na sahara ishara za niko ziara So cash flow on a go slow si basi ni swara Niko ju ya maji ka Jehovah na siezi kuwa sober Crime ikitake over mpaka magova nakopa AK ndio nieze kukam ile show yako kuroga Nina bonga points kwa verse na siezi konda Ka msee wa madeni njia nikabadilisha Teke ka rudisha ndio mi nisaka mapeni Ki usanii nishawaconquer so sina budi kusonga Kazi kwa vijani na sa mfuko inabonga huh Working cla** makali kwa gla** kazini Plus kwa dream number moja Forbes magazine Uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari IKO NINI CHORUS: Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Vile najua kaka sinanga limits Najiachilia vile najua kaka sinanga limits Ka ni biz ka ni mzikii X2 Sinanga limits haha hivi ndio si ufanya yaani Si unajua Kennah Download the song and share.......... Thank you for supporting local talent!!

You need to sign in for commenting.
No comments yet.