Nandy - Nimekuzoea lyrics

Published

0 667 0

Nandy - Nimekuzoea lyrics

[Kimambo on the beats Aiyayayaya aiyayayaya Aiyayayaya aiyayayaya Niko tu mi baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi Aii zuri baby Nibandike nigande ka gundi Maakuli nilishe nishibe Kitumbo ndindi Unanikoleza, unanichombeza Unanilegeza ai wee Ukianzaga ndani unayaweza kitandani Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee Nakupenda, nakuwaza Bora my oh, my boo boo We nipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nimekuzoea nime nime nime Nimekuzoea, nimekuzoea Nimekuzoea nime nime nime Nimеkuzoea Kazoea vyote, kazoеa mpaka kazoea Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena Nipo katikati nazungukwa na upendo Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo Nakupenda, nakuwaza Bora my oh, my boo boo We nipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nimekuzoea nime nime nime Nimekuzoea, nimekuzoea Nimekuzoea nime nime nime Nimekuzoea

You need to sign in for commenting.
No comments yet.