Mantra - Train to Boom lyrics

Published

0 78 0

Mantra - Train to Boom lyrics

Taka usitake napeleka far Mpaka abudhabi Hii kitu Napiga mashuti, natikisa paa Wala usijali Na kama ni mtoto mkali Subiri masaa Utacheer na leader chumbani Shuguli ni pevu, usije na njaa Mpaka asubuhi hatulali Binti mdogo lakini huogopi Tena ni mke wa mtu Nafunga milango lakini hukomi Tabia mbaya Utakuja niponza nishikwe ugoni Sitaki wahala Tulia nyumbani ucheze na toy Punguza mazara Unapita mipakani kama ni ziwa la nyasa Samaki ametembea ameishafika mombasa Jirushe kwa makini binti usije kunasa Kwa upande wa mangoma huwa sifanyi makosa Ndo maana taka usitake napeleka far Mpaka abudhabi Hii kitu Napiga mashuti, natikisa paa Wala usijali Na kama ni mtoto mkali Subiri masaa Utacheer na leader chumbani Shuguli ni pevu, usije na njaa Mpaka asubuhi hatulali Kutega mitego mchezo unaweza Na mi sina muda kulinda Kusema ukweli naogopa kunasa Mkondo umefika mombasa Kwangu huwezi kupata kibali Wewe ni njiwa wa pori Mtoto wa mjini najua manati Ila sipendi wapori Haah Ni hatari kama movie ya John Wayne Mtoto mkali tumekutana kwenye train Kutoka Liar mpaka boom, tume click Na after party tumefanya kwenye,,, Taka usitake napeleka far Mpaka abudhabi Hii kitu Napiga mashuti, natikisa paa Wala usijali Na kama ni mtoto mkali Subiri masaa Utacheer na leader chumbani Shuguli ni pevu, usije na njaa Mpaka asubuhi hatulali

You need to sign in for commenting.
No comments yet.