Ly'Hans - Cheza Chini lyrics

Published

0 155 0

Ly'Hans - Cheza Chini lyrics

(Intro) (Another FarmForce production) hehehe Ly'Hans yeah Mizay KitaLegend homie... NaxVegas hehehe si unajua vile how we do it in the streets (Eryco on this) legoo (Chorus) new face on your telly boy so inabidi umecheza chini, cheza chini new voice on your radio so inabidi u salute kwani iko nini? new face on your telly boy so inabidi umecheza chini, cheza chini new voice on your radio so inabidi u salute kwani iko nini? (Verse I)(Mizay) suicide flow so inabidi umemaintain, me and my k**er boyz, clique, we the main team, murder be the swag , yeah am talking about the A game, ka ni shule def utanipata on the A lane, madame hutetaga vie me hukaaga hell-in cos am the hot n***a unaeza uliza Hellen, but bei nime rise wananiitaga mchele, inabidi ume nice, nime break out ka ndwele, nimekam kuleta turn mpaka man unaeza dhani Tupac naleta back so ma ninja wata run, leo si lie ju kwa track tumekam through na Hans, so ma rapper tuna harm ni kama tuko na gun, than kuimbia fans rapper tuna warn, na usidhani nimechochwa na ile coro nili burn, sina tire but juu ya beat na land with a bang, niko blessed though siendeshi cars kama punk (Chorus) (Verse II)(Ly'Hans Hannee) cheza chini, kaa fiti, niko ndani nataka cents ka 50, niko katika harakati ya mikakati kila wakati, ju umefika ule wakati wa wanati, fake ninjas, wako hali mahututi, uzani tuko nayo, piga saluti, naingia, nikilipuka ka baluti, work MC ndio usi s** MC, na whack MCs, get back and work MC, Ly'Hans niko kazi mi na work MC hii kitu kwangu ni ABC, naskika Ghetto hadi KBC, nimekam jana si enzi za BC, lenga Jessy mi ndo the real MC, nadai racks on racks design ya YC, 10 over 10 utadhani Naeto C, mtaani mi ni pimp ka C (Chorus) (Verse 3) (Mizay) am a hard KNUT to crack unaeza uliza Sossion, so ma rapper naeza zima wakuwe off so si on, utadhani hao ni Drake ju za kwao ni za ovyo, tena wako lame ni ka walihata polio (Ly'Hans Hannee) hottest MC ju na k** tracks after tracks, hadi whack MCs wana melt ka wax, last man standing kwa royal rumble, simba marara ka rap game ni jungle (Mizay) siko single ju kwa mic niliwai posa, na ka una doubt uliza Nax,jibu hutawai kosa, niko new wako old kama dinosaur, juu ya beat naeza wa whip hadi wadai no Sir! (Ly'Hans Hannee) ikuwe vile itakuwa, ndo vile nimeamua dead or alive, head or tail, juu au chini, nipe ba** na treble, kicks na snare, cos am the new heir (Chorus) (Outro) new face on your telly boy hehehe cheza chini, cheza chini new voice on your radio sa inabidi u salute kwani iko nini?

You need to sign in for commenting.
No comments yet.