Ly'Hans Hannee - Raundi Hii lyrics

Published

0 258 0

Ly'Hans Hannee - Raundi Hii lyrics

[Intro] Hehehe Ly'Haaans .... KitaLegend homie Yaani hii ni time nimerudi hewani [Verse 1] Ly'Hans Hannee, niko ndani, Raundii hii ni kubaya, si utani, Raundi hii, Kitale tuko finale So lazima Nairobi city ishike nare Ka Kondoliza am always on the rise Unaeza uliza vile me huji nice Tingiza kichwa ka ngoma ni kali Ju nimemwaga chumvi na pilipili, Ka ni kazi, me huchapa, Ka ni pesa, me husaka, Nahisi njaa, ndo maana niko hustle nasaka mill So ka Kibaki kazi iendelee Na ka unabaki usitegemee, Pesa, mkwanja, mang'ondo zikutetee Ka Abbas kwa music na do diz Hand in hand like Nokia Kila kitu mia kwa mia Raundii hii nia inaleta njia [Hook] Ni kubaya raundi hii, Lazima nipate raundi hii, Nairobi city raundii hii, Kumeharibika raundi hii, Raundi hii, raundi hii, Ngoja uone raundi hii, Ngoja uone raundi hii Raundi hii, raundi hii Ni kubaya raundi hii, Lazima nipate raundi hii, Nairobi city raundii hii, Kumeharibika raundi hii, Raundi hii, raundi hii, Ngoja uone raundi hii, Ngoja uone raundi hii Raundi hii, raundi hii [Verse 2] Kwa beats, nime master key Milango za industry nafungua kwa master key My records hazina limit ka Master P Ly'Hans level ni pilot, Hadi narep my hood head high Niko always busy, utadhani worker bees Wanajifanya walami, So bado ni wanna bees Natema kwa Kiswahili, Hadi wanashikwa na kizunguzungu Raundi hii, raundi hii Nime update my CV So raundi hii nitegee kwa redio na TV Raundi hii mashinani iko city, Mziki ni kazi, msanii na sanaa, Raundi hii, raundi hii Lazima nishike noti ka konkodi Pasipo budi hubidi Natia bidii, ju ka Idi najiamini Sina jicho pevu, so eryday me hu rise early ka Mohammed Sina jicho pevu, so me hu rise early ka Mohammed [Hook] [Outro] Hehehe Ly'Hans Kitale tuko finale homie aah Ngoja uone raundi hii Ngoja uone raundi hii Raundi hii raundi hii aaaah *END*

You need to sign in for commenting.
No comments yet.