Ly'Hans Hannee - Mia Kwa Mia lyrics

Published

0 323 0

Ly'Hans Hannee - Mia Kwa Mia lyrics

(Intro) hehehe KitaLegend homie hehehe Ly'Haaans twende kazi (Verse I) am so fly, lazima niwe hewani, ukiskia hehehe ujue ni Ly'Hans ako ndani mashinani niko ndani ya fani maskani flani kila wakati, nikisaka money hustla napiga sala kwa mola ndo nipate hela pop collar ili nishike mulla ka bank teller storyteller kwa biti, vitu natema si silly najikaza sana mithili ya mishipi mingi saluti kwa masela na mafella kila mahali nimeanza kuvuka border nikisaka ma dili, ndio ni get dollar buy ndula, mulla on my medulla, sister du na brother du toka Kitale hadi Dar-Es-Salaama hala , niteme bars kadha wa kadha Kiswahili nasema mithili ya Wallah Bin Wallah Mia kwa mia toka Kenya hadi Tanzania Afrika hadi Amerika natema nikiskika (Chorus) Mia kwa mia Kwa mia, kwa mia, Mia kwa mia Hustla naleta vitu mia kwa mia Mfukoni kunaingia ma mia na mia X2 (Verse 2) Kila kitu ni mia kwa mia, Kwa benki ma mia na mia yanaingia, Msanii naleta asilimia mia, Penye nia pana njia omba, panga, anza na utapata nafuata nyuki always nile honey niko njiani eryday kusaka money, mfukoni shilingi ni mbili na bado nasaka mingi am so hungry for money, na nikipata I get greedy, sober mind lazima uwe steady, kwa streets ka pedi, bidii na miradi hazijadedi ju niko ready ka akili ni nywele, mi ni rasta bila dreadi get money, eryday,always the same way nasaka nasaka, tafuta tafuta, mchezo tiktaka, ka Shawn Carter naleta masterpiece ka Magna Carta, nasakata karata ya hustlas with ambitions, flow tighter, higher ka kiter, kwa muziki mi ni writer, ready ka fire fighter, ju nawasha flames na lighter, making cla**ics, no more time for remix, no more time for refix, no more time for fake sh**s, hustla naleta mia kwa mia, kwa mia,kwa mia, vumilia, ka punda milia, hakuna kulia pesa ikiingia kwa Mungu nimeaminia mazoea ni kuwaimbia (Chorus) *END*

You need to sign in for commenting.
No comments yet.