Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Wanangu Njoo Tuvipige Vita Vyema lyrics

Published

0 302 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Wanangu Njoo Tuvipige Vita Vyema lyrics

Wanangu Njoo Tuvipige Vita Vyema [Come My Children, Let us Fight The Good Fight] 1. Wanangu njoo [Come my children] Tuvipige vita vyema [Let us fight the good fight] Ninawangoja mapumzikoni. [I am resting in heaven waiting for you]. 2. Wanangu njoo [Come all my children] Arusi i malangoni [The wedding is by the gates] Ninawangoja mapumzikoni. [I am resting in heaven waiting for you]. 3. Wanangu njoo [Come all my children] Mpingeni huyo Shetani [Resist the Devil] Ninawangoja mapumzikoni. [I am resting in heaven waiting for you]. 4. Wanangu njoo [Come all my children] Mnilaki hewani; [Meet me during the rapture;] Ninawangoja mapumzikoni. [I am resting in heaven waiting for you].

You need to sign in for commenting.
No comments yet.