Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Twende Mbinguni Kanisa lyrics

Published

0 233 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Twende Mbinguni Kanisa lyrics

Twende Mbinguni Kanisa [Church, Let Us Go to Heaven] 1. Twende mbinguni kanisa lake; [His Church, let us go to Heaven] Twende mbinguni; sote tunaitwa. [Let us go to heaven; we are all called.] (Chorus) Njooni njooni, [Come all, come all,] Mimi nawaita. [It is Me calling you all.] 2. Jitakaseni enyi kundi dogo; [Make yourself holy, ye little flock;] Yapuuzeni yote ya dunia. [Ignore all things wordly.] 3. Yapuuzeni yote ya Shetani; [Ignore all Satan things;] Furikeni maneno yake Bwana. [Be overflowing with Lord's words.] 4. Tuwahurumie watenda dhambi; [Let us pity those who commit sin;] Na tuwe wakali juu ya dhambi zote. [But let us be strict against all sins.]

You need to sign in for commenting.
No comments yet.