Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Pasaka Yesu Uliyetununua lyrics

Published

0 234 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Pasaka Yesu Uliyetununua lyrics

Pasaka Yesu Uliyetununua Yesu, Yesu, Yesu wangu nakuhitaji Mwokozi, Mwokozi, Mwokozi wangu nakuhitaji Shuka, shuka shuka utakase Kanisa Pasaka, Pasaka, Pasaka wetu uliyetolewa Tufanye Karamu isiyochachuka -- ndiyo weupe wa moyo Pasaka Yesu Uliyetununua kwa damu ya thamani Yesu tuandae tayari kwa Karamu ile ya milele Pasaka Yesu tupambe mavazi tayari kwa Karamu Mavazi ya Karamu ni utakatifu, tujazwe mapenzi yako Pasaka, Pasaka Pasaka ubarikiwe Tupambe, tupambike kwa matendo mema yako ee Pasaka Tuwe baraka, tuwalete wengi kwako ee Pasaka

You need to sign in for commenting.
No comments yet.