Enyi Vijana - O Youths serve Me Enyi vijana nitumikie, nitumikie; [O Youths serve Me, serve Me] Ninakungoja ewe kijana; [I am waiting for you young one] Nitumikie Mimi. [Serve Me.] (Chorus) Ninazo taji kwa watumishi, [I have got crowns for the servants] Ninazo taji kwa waaminifu; [I have got crowns for the faithful] Ewe kijana nitumikie. [ You young one serve Me.] Muache yote mambo mabovu, mambo mabovu; [Quit bad stuffs, bad things] Ninakungoja ewe kijana; [I am waiting for you young one] Nitumikie kwa uaminifu. [Serve Me faithfully.] Mambo dunia ni ya kupita, ni ya kupita; [Things earthly are temporary, are pa**ing away] Lakini mimi ni wa kudumu; [But I am permanent;] Nitumikie kwa uaminifu. [Serve Me faithfully.]