Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Dunia Ni Ya Kupita lyrics

Published

0 373 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Dunia Ni Ya Kupita lyrics

Dunia ni ya Kupita -- The world is Temporary 1. Dunia ni ya kupita, [The world is temporary] Dunia inanyauka; [The world withers away] Wenzangu dunia inanyauka na kupita. [My fellows, the world withers and pa**es away.] (Chorus) Anasa, maovu, maasi ni ya kupita; [Pleasures, wickedness, rebellions are things that pa** away,] Wenzangu dunia inanyauka na kupita. [My fellows, the world withers and pa**es away.] 2. Waovu ni wa kupita [The wicked are temporary] Waasi ni wa kupita; [Rebels are temporary] Wenzangu dunia inanyauka na kupita. [My fellows, the world withers and pa**es away.] 3. Na Yesu ni wa kudumu, [Moreover, Jesus is permanent] Anasa ni za kupita; [Pleasures are things that pa** away] Wenzangu dunia inanyauka na kupita. [My fellows, the world withers and pa**es away.] 4. Mwamini Mwokozi Yesu [Believe in Savior Jesus] Usinyauke na kupita; [Lest you wither and pa** away] Wenzangu dunia inanyauka na kupita. [My fellows, the world withers and pa**es away.]

You need to sign in for commenting.
No comments yet.