King Luffa - Sina Koloni lyrics

Published

0 248 0

King Luffa - Sina Koloni lyrics

Intro.. Its ya dady Ya father Ya papa Ya Dingilii Baba akoo ( Motra The Future) [Verse 1: Motra The Future] Cheke aaaah Mbona nlishayakimbiza toka kipindi ya Nyerere Nikayamwagia upupu yaliponimwagia nyenyere Joh usidere usoni unapouwa ngedere Akunyimae kunde si amekunyima ushuzi wa njegere Siku hizi kuna majini ndani ya mapaka Ndo maana kila ndoa kuna talaka Ipi unataka?? ya msituni au ya machaka So, ukiparamia mtambo ndo utaipata Daily namwomba Mungu anipe muke niwowe Sio anipe msiba daily kwangu ni yowe Aje kibaka anitepeteshe nilowe Halafu aniache nanja juu nimenyoosha kidole.. cha kati Hizi ni nyakati za kuvunga Nakupenda we tu na ndo maana nakuchunga Mi sinaga hata koloni la kuzuga Ni wewe tuu kwahiyo ukizingua ntakuvunja Haaaah [Hook: G Nako] Sina koloni koloni , sina koloni koloni Nimejitakatishaa Sina koloni koloni sina koloni koloni, Nimejitakatisha Sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe Sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh [Verse 2: Motra The Future] Mi mambo mengi nilimalizaga hukoo Tena nilipokuona we ni mrembo nikaku-fall Ilikuwa ni usiku kuelekea mapambazuko Si ndo nkagongana na gari la upendo uso kwa uso Mi sio domo zege, wala mi sio play boy Ku stiki na wewe ndito huwaga mi na pray doi Nikikutajaga kwetu oi oi Bless toka kijenge, mwanama, banana , suye na moivoi Masela unishauri mkuu hao unapakata Kwani we si unakisu mkuu hao unawakata Sishawishiki juu yako utaona hao wanakacha Ni nafuu ya mchukuzi ile kuvuja kwa pakacha Nshakula ujana hizi ni nyakati za kuvunga Nakupenda wewe tuu na ndo maana nakuchunga Mi sinaga hata koloni la kuzuga Ni wewe tuu kwa hiyo ukizingua ntakuvunja [Hook: G Nako] Sina koloni koloni , sina koloni koloni Nimejitakatishaa Sina koloni koloni sina koloni koloni, Nimejitakatisha Sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe Sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh [Bridge: Motra The Future] Ooh wala sitaki wajaribu kuni Letea mazoea wakanirubuni Ndege ukapepea ikabaki huzunii Hata majirani wakaniona ni zuzu mii Again.. with (quick rocker) Wala sitaki wajaribu kuni Letea mazoea wakanirubuni Ndege ukapepea ikabaki huzunii Hata marafiki wakaniona ni zuzu mii [G Nako] Sina koloni koloni , sina koloni koloni Sina koloni koloni , sina koloni koloni Sina koloni koloni , sina koloni koloni Sina koloni koloni , sina koloni koloni [Hook: G Nako] Sina koloni koloni , sina koloni koloni Nimejitakatishaa Sina koloni koloni sina koloni koloni, Nimejitakatisha Sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe Sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh [Outro: G Nako] Nimejitakatishaaaa Nimejitakatishaaaa

You need to sign in for commenting.
No comments yet.