Khaligraph Jones - Ya Nini lyrics

Featuring ,

Published

0 1644 0

Khaligraph Jones - Ya Nini lyrics

Ah uuh Haina manufaa tena kama sio riziki basi hailiki Na tena iyonifaa (washa) mtake msitake ntabaki nae Eh Watiaji wanabonga wakisema this and that ‘Cause what we got they wish they had Ni hiyo chuki imezidi ale nafaa tu Mi kuachana na wewe haiwezekani mama And that’s real nataka unielewe nikisema I got you and that is one thing you should remember So usibabaishwe na izi vitisho juu ni mimi tu na wee hadi mwisho Oya mi sina batokotikanga alande langai mbongo nanga Mbolingo nzote amohe zote Oya mi sina batokobwekanga simama bongo otongokanga Bolingo ezate pambesi zate (let’s go) Ya nini ya nini tunafuatana nini Ndege majini ka samaki sijaona mimi Ya kwangu nachie (they wanna hate let them try harder) Kama ndoto sie wawili (hayawahusu so girl don’t bother) Ya nini ya nini ozolandela nini Nikinywa maji eti mbisi (na monate) Yangali yasiowapi (they wanna hate let them try harder) Kama ndoto sie wawili (hayawahusu so girl don’t bother) ya…ya Najua kuna wale wanataka tutengane Juu ya wivu hasira na chuki Najua kuna wale hawataki tupendane basi ishu walike harusi Ndo wajue kwamba situachane juu tulianza ivi zamani uh Natuma umenisikia my dear whenever you need me imma be right here Tena Mungu katuleta pamoja nani atutenganishe Mapenzi ya kweli waone waaibike Mi na wewe kama chanda na pete wacha waseme tusonge mbelee Oya mi sina batokotikanga alande langai mbongo nanga Mbolingo enzote amoure zote Oya mi sina batokobwekanga simama bongo otongokanga Bolingo ezate pambesi zate (let’s go) Ya nini ya nini tunafuatana nini Ndege majini ka samaki sijaona mimi Ya kwangu nachie mimi(they wanna hate let them try harder) Kama ndoto siye wawili (hayawahusu so girl don’t bother) Ya nini ya nini ozolandela nini Nikinywa maji eti mbisi (na monate) Yangali yasiowapi (they wanna hate let them try harder) Kama ndoto sie wawili (hayawahusu so girl don’t bother) (x2)

You need to sign in for commenting.
No comments yet.