Khadja Nin - Mzee Mandela lyrics

Published

0 560 0

Khadja Nin - Mzee Mandela lyrics

Ndani yangu ni raha na sorrow Nikiwaziya baba Myaka ishirini na saba ya sorrow Kwa bahati Mutu wa haki hana boga, ju ana kweli Mbele ya silaha ukashimamiya uhuru Nelson Mandela Mzee madiba baba yetu Nelson Mandela Mzee madiba baba yetu Damu ya wana wa South Africa Hayikumwangika bure Ata kama makumbuko yako ana sorrow Pole pole baba watu wanajifunza Ku kaa pamoja Nelson Mandela Mzee madiba baba yetu Nelson ,Nelson Mandela Mzee madiba baba yetu...

You need to sign in for commenting.
No comments yet.