Khadja Nin - Like An Angel lyrics

Published

0 673 0

Khadja Nin - Like An Angel lyrics

an*liya disiwe Mume wake Ajali haina kinga Wala kafara Anaenda kijana Maladi inamushinda Ana aca bibi Na mutoto mudogo Mwanaume an*lala kimya Like an angel Mbele ya kufunga maco Alimwambiya: "bibi yangu unisamehe Ju sina mali Ya kukuaciya Mungu akulinde Like an angel" Mawa ju kijana ule Anaenda huruma Mawa oh ! maliyo ! Sheria ya mungu mama Hayijulikane Ajali haina kinga Wala kafara : "kwaheli Mpenzi wangu Wende salama Lala...like an angel Like an angel"

You need to sign in for commenting.
No comments yet.