Khadja Nin - Damu Ya Salaam lyrics

Published

0 279 0

Khadja Nin - Damu Ya Salaam lyrics

Tangu iraki mpaka amerika Wako karibu yakufunga vita Mi mama mzazi nauliza Ni nani ata linda watoto wetu Bwana hussein anasema: "nataka salaam" Mi si aminiye neno ile Damu yaliyo mwangiwa Ni ya wadogo na watoto tu Mimi huyu nakosa njiya Yakusikika kwa wakubwa Kwa hakika tulijioneya Vita ya kwanza ilizala fitina Bwana hussein anasema: "nataka salaam" Mi si aminiye neno ile Damu yaliyo mwangiwa Ni ya wadogo na watoto tu Nakata matumaini Ju kwa vile naona Wakubwa hawajali macozi ya Mutu mudogo an*liya wake Siraha ya amani ilikuta kwake Mr.clinton anasema: "nataka salaam" Mi si aminiye neno ile Damu yaliyo mwangiwa Ni ya wadogo na watoto tu Mr.clinton anasema: "nataka salaam" Mi si aminiye neno ile Damu yaliyo mwangiwa Ni ya wadogo na watoto tu

You need to sign in for commenting.
No comments yet.