Khadja Nin - M'barik Fall lyrics

Published

0 223 0

Khadja Nin - M'barik Fall lyrics

Kama haumujuwe Kama hujamuona Ni yeye M'barik Fall Amekwenda peke yake Mutoto akafika ulaya Njo yeye M'barik fall Ni sekele ni sekele ya ye Ukapigana ukawina Baba yo moko bwana M'barik Fall Battling Siki Ukapigana ukawina Baba yo moko bwana M'barik Fall Wakaku ita ugombane Ukamupiga muzungu Bila dawa M'barik Fall Ahiyama ahiyele maye o Ni sekele ni sekele ya ye

You need to sign in for commenting.
No comments yet.