Kevin Grands - Usiku Na Mchana lyrics

Published

0 218 0

Kevin Grands - Usiku Na Mchana lyrics

Okay Cheki! [Verse 1] Full of myself to some extent yet empty to another Na ata, ningekuwa siafu wewe ndovu bado ningekusho hautoshi mboga Naeza come off ka soft lakini niko na roho ya chuma Materialistic pia, nataka izo kick za Puma Ju me ni, product ya mtaa yangu unajua nini kuhusu Kidi? Zi, me si babi. Me niko rather pockets empty Aspiring millionaire na salo ya elfu ishirini na siku izi, natema sana Nataka iyo jukwaa juu kwa hii sanaa nimebank hope ya kuosa For now na-chase ancestors Niwaoneshe akiba imeoza Itabaki tumezoea matapeli wanatoka siaka ka jaguar Ni ngumu kujua rada Cheki irony: Nataka kufanya mziki kwa fanaka wakati wasanii wanani-inspire wan*lia ati hawajalipwa Ni ka kuotea kununua Cedo na doo ya ku-buy Toyota Ma-time sitofautishi kati ya hii ndoto na fantasy Ma-time, me hufeel, disoriented vile success huwa varied Lakini bado huskii me na-embrace authenticity So me si-take side kati ya eccentricity na conformity Cause tofauti ni ati me naona unifying factors Na ata Sir Jah anajua nataka kupata purpose Kwa maisha, kushinda ata procreation Sa hizi ni forecast invasion versus procrastination Na sina sense ya direction Sina ramani, dira, ama ata darubini lakini niko na nyaru mbili So ka Meth na Red ukiniuliza How High me ntakusho shoulder high ju me si-drive-wi na values Me na-thrive na double standards jo Bado na-wonder whether, kesho jua itatua Lakini nazidi kusonga ka konokono kwa mvua For sure naona light, kwa end ya hii tunnel niki-go through turn yangu ya ku-channel dunia [Chorus] Na saa hizi niko shada Plus nimetoa lock na nimetoka kutema jaba Na nimengoja kesho sana karibu nisahau kushukuru Mungu kuhusu leo na jana Natazamia matokeo sambamba na ninayotenda. X2 [Hook] Oh, usijali usijali me ni mistari nachana Usijali usijali me ni mistari nachana Usiku na mchana, usiku na mchana Usijali usijali me ni mistari nachana. (chana) [Verse 2] Ushaijamia Sir Godi ju ati time inazidi kusonga na ni ka we hupati baraka? Me si m-religious per se lakini me ni ka Five Percenter Na enyewe patience yu-pay lakini pia time ni money we chagua yenye utapenda Me natazamia matokeo sambamba na ninayotenda Angalia hawa, wahuni na ata hawajui kunguni wa ile kitanda nalalia! Hawawezi ni-outsmart maze, me ni genius Na nimejuanga hivo ever since nikuwe junior Na saa hizi nia yangu ni kuwa ka Juliani Saa hii sinia yangu imejaa biriani Na me hujiskizia sana siwezi kuwa claustrophobic Niko na art form inanipa sense ya belonging Na although saa hii niko into interior decor Me dream tangu ni kuishi kwa playlist yako Na dream car yangu ni Discovery.(Mbona?) Huwezi skip steps kwa growing process I guess Huwezi skip steps kwa growing process I guess Huwezi skip steps kwa growing process I guess Chorus X2 Hook X2

You need to sign in for commenting.
No comments yet.