Kenzo - Zam Zam lyrics

Published

0 1024 0

Kenzo - Zam Zam lyrics

Intro Kenzo Ogopa DJS Matata hii Verse 1 Maisha ya upekee Jamani mi sitaki Nimeaamua kuwacha Maisha ya u-bachelor Niko katika Hali ya kutafuta Msichana mmoja Mrembo ni eeh Chorus kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe kama wewe kama wewe kama wewe Verse 2 nimesema na wengi nimejitupa na wengi nimehangaika sana nikitafuta mchumba wa kunitunza anizalie mapacha ninapotokea kazini kuna wa kusema nami nikikasirika anifurahisha msichana mmoja mrembo eeh Chorus kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe kama wewe kama wewe kama wewe Verse 3 nimeamua Nitamtafuta Sitachoka Mpaka mi nimpate nimeamua Nitamtafuta Sitachoka Mpaka mi nimpate nimeamua Nitamtafuta Sitachoka Mpaka mi nimpate nimeamua Nitamtafuta Sitachoka Mpaka mi nimpate Chorus kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe ni Zam zam kama wewe ni eeh kama wewe kama wewe kama wewe kama wewe

You need to sign in for commenting.
No comments yet.