Kenzo - Mama Milka lyrics

Published

0 1506 0

Kenzo - Mama Milka lyrics

ntro Matata hii Mama milka, mbona unanitesa Kenzo Verse 1 Tumekuwa mabeste Tangu utotoni Tumesoma pamoja Tangu utotoni Tumecheza pamoja Michezo ya utotoni Sasa ni mi mtu mzima Natafuta mchumba Chorus Mama, napenda mtoto wako Naomba, nikumbalie nijipange naye Mama, napenda mtoto wako Naomba, nikumbalie nijipange naye Verse 2 Jamani unasema Wataka mwenye suti Awe na degree Toka university Sio wa kusakanya Hajiwezi mwenyewe Nitafanya chochote Wee sema tu Nitakwenda kokote Wee sema tu Nitakupa chochote Wee sema tu Chorus Mama, napenda mtoto wako Naomba, nikumbalie nijipange naye Naomba, nikumbalie nijipange naye Verse 3 (huyo)mimi na yee Tunafaana siku mingi Tumejuana si utani Nakuomba ooh (huyo)mimi na yee Tunafaana siku mingi Tumejuana si utani Nakuomba ooh (huyo)mimi na yee Tunafaana siku mingi Tumejuana si utani Nakuomba ooh (huyo)mimi na yee Tunafaana siku mingi Tumejuana si utani Nakuomba ooh Chorus till fade Mama, napenda mtoto wako Naomba, nikumbalie nijipange naye Mama, napenda mtoto wako Naomba, nikumbalie nijipange naye

You need to sign in for commenting.
No comments yet.