Ken Ring - Iko Sawa lyrics

Published

0 99 0

Ken Ring - Iko Sawa lyrics

[Intro: Gramps Morgan] Jamaica to Kenya! Eeh! Ooh oh eeh! Johnny Vigeti! Gramps Morgan again! Woh hoi! Hae hae! hae! Hae! hae! Johnny Vigeti say! Oh oh oh yeah! Oh oh oh yei! Sing! [Verse 1: Vigeti] Kweli man! Ngonja nikwambie nimefurahia kuwa hapa Na leo sija kuja kuwatishia sikuwachapa Issue, kuji-achia kuna after, party Watu kunywa beer, watu kunywa Tusker Mahewa pulizia-tu mashasha (hehe!) Hapo vipi? Hapo sawa! Machizi wamekuja ki-full kipango hawa Na ni-evident waki-come through kwa mlango sawa Pembeni baby boo ako tako ya pawa Tulizeni tu mambo ya kawa, tulizeni tu mambo ya dawa Nikasema fuate shugli zenu, tuwepo manawa Kweli man! Maisha ni fupi, weh enjoy man Nime makinika si-stuki For real! Naaminisha sikufi Vaa rubber kila ukibadilisha vi-chupi [Chorus: Gramps Morgan] Every time they talk behind your back (yeah) Never mind, never mind what they say (yeah) People will always say things, but never mind You got to reach out, and reach your dreams (yeah) [Verse 2: Vigeti] Mungu yuko man, enjoy maisha haya Uki-focus set vile form itaisha haya (eh) Stress ya bure ya nini? Ukianza ku-act nikama hukuenda shule lakini Si-usunde alafu ndio ukule hamsini Wengine jealousy kibao dio udungwe na mpini Kukulia makali, machungu kanywaji kana sumu-ka Amini –ka ndugu, amini ya Mungu System yote imeharibiwa na nani? Ni mzungu Ukisema upige hesabu fulani kizunguzungu Kwa hivyo poa count ma-blessings Tutaonana baadaye niko out mabesteh Big-up jamaa na marafiki Allah tuepushe ile kukaa na manafiki Tusha-choka, ni mbali tusha-toka Kaa ni salvation mshikaji, tusha-okoka [Chorus: Gramps Morgan] Every time they talk behind your back (yeah) Never mind, never mind what they say (yeah) People will always say things, but never mind You got to reach out, and reach your dreams (yeah) You haffi live your life, live your life (yeah) Live your life, no matter what bad mind people say! Every time they talk behind your back (yeah) Never mind, never mind what they say (yeah) People will always say things, but never mind You got to reach out, and reach your dreams (yeah) They will try yeah eeh eeh Live your life, live your life yeeah

You need to sign in for commenting.
No comments yet.