Ken Ring - Buddha Rangi lyrics

Published

0 98 0

Ken Ring - Buddha Rangi lyrics

Si unajua mambo, works nini? hee eeh! Ha ha ha! Kweli man! (Verse I) Naitangwa Johnny! Homie, malaya kamwe si-mtombi! kweli man! Kombi mishipa nje ya ma-poni okay okay! Huni machiza malazwa hosii Kama kawa! Si-poni wengine bila hata msosi! Mimi natokea D, sijui nyinyi mnaongea ni! Watu watu wakutokea mdhii Mavitu mingi mi siwezi kapotea mdhii Moto ya mbali kuotea bui! Toka before inatokanga ni raw Inakuwanga ni war Ma-shoka ma-blow unavunjangwa ma-jaw Ulizanga Oteraw aha! Yeah! Utapenda tu Venye mchizi nateleza-tu – (kweli man!) Design ya mboga ya mrenda doo Na hiyo bado naiitanga mic check one two (one two!) Dandora kwa nyumba Ukijishasha unaporwa unadungwa (Chorus) Bizy bizzy bizzy blazzy blazzy blazzy Ikibidi uji-kaze kaze brathe Siku hizi hatutaki skaji labde Ikizidi basi ujikate fasteh! Kama wewe bibi ipake mate Sijui namna gani si…… …………………………… Mungu ye hawachi watu wake Siku hizi niko busy nipate shakeh (Verse II) Wanangumi wajadi tenee Wasomi washijaki watembee Ndipo nikivutaji kizee Kick-ka-punda bana! Kuperfect hii sh** tunaunga njama Kula nyasi huyu simba anakula nyama Kujaribu kutu-diss tutakuandama Tuta ku-tie na ship vile unazama Utabanja design umevuta ganja Kula mkwanja (haha!) Napigiwa verse mpaka…. Wadozi Naacha home wife akimwaga machozi Na haribu form like kuleta gogozi Na kila mmoja anataka ku-sosi Jicho nyanya utasema nimevuta bangi Kutoka Mombasa ni mpaka kule Budalangi Watoto wadogo wanataka toa buda rangi (Chorus) X2

You need to sign in for commenting.
No comments yet.