Kali D - Smokin' Like Kali lyrics

Published

0 246 0

Kali D - Smokin' Like Kali lyrics

Chorus: Damn that chick bad! She's smokin' like Kali My n***as puffing kush, They smokin's like Kali I got the dames all on me, I'm smokin' like Kali I'm smokin' like Kali, Now I'm smokin' like Kali Damn that chick bad! She's smokin' like Kali My n***as puffing kush, They smokin's like Kali I got the dames all on me, I'm smokin' like Kali I'm smokin' like Kali, Now I'm smokin' like Kali Verse 1: Kali D (Serikali kidole cha kati) Emcee pita side hii ya Dee ni suicide haujisaidi Walicampaign na kuburn Cannabi but can I be anything nataka kuwa Niko sure wanakimbilia backups hawatrust verse juu wanajua mi huchafua Coalition ya kunitoa kwa hood Goodies kunilipa soon kufyatua Swali ni je, afadhali kurisk kufa na bullet lakini ulikuwa na doe Uliball kubambua au kufufua? Siri ya boy kuget paid, kuamua Na ya manzi je? Kuget laid, kupanua Verse 2: Kali D (Kidole cha kati) Hustler? Zii, doe bila maswali yaani ile hali ya mi sijali Tufanye biz bora sijui kabila gani Ishi na amani, waache kusearch a bad boy Tuishi tu rahani, silver iwe sahani Dhahabu symbol ya mali Mahali, na tuifanye kisiri kali Mtaani, nibadilishe jina niwe siitwi Kali Sijulikani, sijui ka ni Starehe ka za Canivore ndo zinafanya ndani sina amani

You need to sign in for commenting.
No comments yet.