Jux. - Umenikamata lyrics

Published

0 483 0

Jux. - Umenikamata lyrics

Nisikilize ninavyoimba (imba) Na Pia Navyopiga Gitaa Naona Watu wamependeza Nyuso zao zimejaa Furaha (Furaha,Ahhh) Najua Ujue Leo hii Kitatokea nini Najua Ujue Leo Hii Nitakuambia nini (Nitakuambia nini,Darling) CHORUS I do These For You (these for You) I Do these For You (these for You)(I do these for you) I do these for you (i do these for you) These for you (i do these for you) I do these for you (i do these for you) These for you Najua napenda Kukuona wewe Ukiwa na Furaha (ahhhh) Najua Thamani na Heshima Yako Kweli Unanifaa Umenikamata Weee Umenikamata X 4 Haki ya Mungu Wewe Ni Mzuri You Are so Beautifull Na Mungu Kakujalia Huna Chembe Ya Kiburi Wewe ni msafi wa Roho I Dont Wanna Let You Go I wanna Marry You Girl And Nothing Comes Between Us Am Gonna Give You My Loving and Make them Wanna be us CHORUS I do These For You (these for You) I Do these For You (these for You)(I do these for you) I do these for you (i do these for you) These for you (i do these for you) I do these for you (i do these for you) These for you Najua napenda Kukuona wewe Ukiwa na Furaha (ahhhh) Najua Thamani na Heshima Yako Kweli Unanifaa Umenikamata Weee Umenikamata X 4 BRIDGE Mamy Namuomba Mungu Akulinde (Akulinde) Akutunze na watoto uniletee Wewe ni Furaha Yangu (Yangu) Maisha Yangu (ni wewe) Ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Najua napenda Kukuona wewe Ukiwa na Furaha (ahhhh) Najua Thamani na Heshima Yako Kweli Unanifaa Umenikamata wee Umenikamata X4

You need to sign in for commenting.
No comments yet.