Julianna Kanyamozi - Usiende Mbali lyrics

Published

0 4105 0

Julianna Kanyamozi - Usiende Mbali lyrics

Verse 1 Deka unavyo Deka kama mtoto Nitakubembeleza mimi wako oh Nita zidi kupa vitu moto moto Mapenzi kupendana sii mchezo Nakusihi usijeniacha mimi solemba Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana Sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana Chorus 2x Usiende mbali nami Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Verse 2 Tangu niko na wewe ni furaha Kukosa hata saa nikaraha Bila wewe siwezi ishi Kwako mimi sio mbishi Wanapiga misele kila mara Wanatimua mavumbi sisi twala Wanataka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi ooh ooh Maumivu ya mapenzi naogopa sanaa Hata wivu ni noa kwani sina roho ya chuma Nakusihi usiniache solemba-aa Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba Chorus 2x Usiende mbali nami Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Usiendeeee......mimi bado nakupenda (2x) Usiondoke.....mimi bado nakupenda (2x) Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami Usiende......mimi bado nakupenda Usiondoke....mimi bado nakupenda (3x) Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami Usiendeeee......mimi bado nakupenda (2x) Usiondoke.....mimi bado nakupenda

You need to sign in for commenting.
No comments yet.