Juliani - EXPONENTIAL POTENTIAL lyrics

Published

0 569 0

Juliani - EXPONENTIAL POTENTIAL lyrics

Yeah Exponential Potential [Hook] Juliani Walitutharau.. Aha Aha Hao Who's laughing now... Exponential Potential Wana'drown kwa machozi zao Tunaogelea kwa jasho zetu Who's laughing now... Exponential Potential [Verse I] Juliani Millioni from 10 Bob Nilitoa wapi extra zeros Jiulize mbona doughnut inashimo Shingo shortcut ya mfuko Dough[doe] ni legal Dish kwa rooftop Siya DSTV ya kuomba Dish Distinct Vampire vegeterians, whiteheads Non-Believers wanatuita Highcla** Soma Colle' juu ya nightclub.. This hustling haitamani payslip Kutoka nikue feotus Mpaka mahali nimefika God's finger ime'move strings [Hook] [Verse II] Juliani Kutoka kitambo nimekua photogenic Wazazi wali'insist na story ya photosynthesis Nani hajui Udaktari si lazima ukuwe mwerevu (na)Kwa karatasi ya dawa Hawamalizangi Esabu Ocampo wana'need more ink, more pages.. Jina zi'fit kwa list Si'exaggerate Nika kufunika puncture na bandage Ndovu haiwezi hata ngumi ya mosquito Me si mu'important Bila mimi Mama mboga hata hana customer Ngumu kwangu kizungu fluent But Huwezi command umati na influence [Hook] [Verse III] Kuku yangu inalia ikona Swine Flu Iliponiona nikinoa kisu Nilikaribisha ili'a**ume ni Pet si Food Homa Inafunika nostrils Coincidentally anapika seafood Akidhani sinusi harufu Uchoyo hainaga karibu Msoto iki'knock door Iko "like you look familiar we've met before".. Kuku ina'idle inje Kenchic ni d**h pending Hardwork get[s] the best out-of life Get saved get the best out-of...d**h

You need to sign in for commenting.
No comments yet.