Juliani - BAHASHA YA OCAMPO lyrics

Published

0 256 0

Juliani - BAHASHA YA OCAMPO lyrics

Chorus (Jaya) Niliponea bahasha ya Ocampo Lakini kenye naogopa hata zaidi Finger of God Ikini-point Yule yule yule yule Yule yule, yule yule Yule yule yule yule Yule yule, yule yule Verse 1 (Juliani) Politicians wanabonga mob That's why kwa parliament kuna speaker Ndio ujue Vitu ziko wrong Pedestrians wanapisha gari kupita Kwa zebra crossing Kama una chuki nami heri Ni-poison na rat and rat Kuliko uninunulie Pa**at Funds za elimu free inalipia mtoto wa minister private school fees Kukuwa mtu mzuri ni hatia Walinishuku niki-offer mrembo lift kwa njia Tafadhali samahani shukran Ni terms zimepotea kata tu kwa skin ya msudan Kisu ni cutlery Kwa mkono ya roho mbaya nisi-lie na-increase casualties Ukipenda utamu ya sweetie kuwa tayari kuvumilia cavities (Chorus) Jaya Verse 2 (Juliani) Maboy ni wa-humble Wakiwa na warembo Trouser inateremka down to earth Wanapenda from the belt down Si from the belt up Flower, coffee, movie si free Pakipa nikiku-hug haimaanishi naku-love After episodes za Tyra Banks Wanadhani urembo ni kuvaa tighter pants Wanafunika less So na-address Hizi issue Mguu split ka sign ya peace ka DBD Ni ma-player, wanahitaji CDs Sell self, wanaume Ni river Upate bank Lazima u-get wet Hio ndio advice tunawapea Njaa hustler fala Chorus (Jaya) Verse 3 (Juliani) Unatumia Panadol kutibu H1N1 There's none but one Kwake uje Zingine zote Ni ka watchman kulinda police station Haisaidii, walivaa high heels Wakaribie heaven Nili-bend knees Nika-touch heaven Mtulivu husema sorry zitabaki thirty two Mjuaji usimpikie githeri, ni ngumu ku-chew Mwili yake ilipata shimo ka flute Yesu, kupata haikuwa flukes After ile kisa Eden Ngumu kupata visa heaven Great mathematician Alitoa one earth, ndio apate all together heaven Chorus (Jaya)

You need to sign in for commenting.
No comments yet.