Juliani - NIPE MAKOFI lyrics

Published

0 211 0

Juliani - NIPE MAKOFI lyrics

Chorus(Juliani) Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe... Nasema... Verse 1(Juliani) Hii ni ya breakdancing Usi-tuck in t-shirts kickers Ume-sag jeans umebeba placards Tetea haki maMP hatuwaoni Kama chozi ya samaki Imagine Parliament kuna bills Booming Ka biz ya bullet proof Iraq hai-last Haina future, futile Kibogoyo atafanyia nini mfupa Shule si hii ni better, hii ni failure Mercedes E ni greater, C ni lesser Niamini makanika, ama headmaster Hizi jobless degree nalenga the latter Canaan, ngumu kukam Suluhisho Ku-get high na get low Magoti kwa floor Chorus(Juliani) Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Ka umechoka na kuchoka, nipe Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema we-we... Verse 2(Abbas Kubaff) Haiti, watu waliuwa Wahaiti Picha kila mali ni miili ya maiti Kama uko hai wee shukuru tu almighty Hamjui ni saa ngapi na Mko na ma-Breitlings Bombs wanaangusha si walitengeza Beijing Illuminati mpaka kwenye cover yake Jay Z Tunajua wale wanakuwanga ma-racist Ma-rapist Babylon huwanga ma-atheist Tap vichwa zao na kuweka kwenye matrix Forensics hiyo wanaita hypnosis Madawa wamepewa inawapa psychosis Tuberculosis Spit makamasi Tonsils zao ziko mpaka ndani ya nostrils The next extinct animal si ni ostrich Wanaua wanyama ndio wapate noti Wanakata kata miti ndio wapate moshi Chorus(Juliani) Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Ka umechoka na kuchoka, nipe Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema we-we... Verse 3(Abbas Kubaff) Roundi hii yaani nimekam na Juliani Utadhania tsunami ime-land duniani Tuwa-wash ka sabuni wawe safi yaani Roho safi gota basi wacha nuks nani Msanii ni msanii yaani ni MC Na wengine wata-run kama DMC Juu dunia iko state ya emergency Suluhisho inafaa kuletwa urgently Modestly, lakini most importantly Tunafaa kuelimisha watu honestly Hii ni maandiko iko kwenye prophecy Zitatokea wee upende usipende chief (Juliani) Abbas tume-complain sana Ku-blame vision na tumevaa stunners Za black In fact Mjeshi aki-drive Pa**at Havotii mandate Pia sisi ka opposition ya Obama tuichape maCain Mara ngapi tumevaosha madame Kuvuna penye hatujapanda zote si same Ni ka pitch ya the real transformer The real transformer Diamonds are forever Mwenye diamond na mwenye forever nikaongea na yeye Nisiingize maji ka Paper mache Chorus(Juliani) Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Ka umechoka na kuchoka, nipe Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema wewe na wewe nipe makofi Nasema we-we...

You need to sign in for commenting.
No comments yet.