Ellisha james - Bonge La Toto lyrics

Published

0 255 0

Ellisha james - Bonge La Toto lyrics

Hook: Bonge la toto Bonge la toto Bonge la toto Bonge la toto x2 Usiku ndo Oooh No amsha popo ×2 Chuga baridi ni kali nagandana nae Joto la bongo na jasho naloana nae ×2 Verse 1: Yake maguu nafananisha champagne na bia Kama majuu ananidatisha anavyovalia Eeeh she is my african queen 2face Idibia Oooh yake Ladha halisia Si ndo ninachojivuniia Bonge la toto Bonge la toto Bonge la toto, Utahonga mkoko Eeh she is the african queen 2face Idibia Oooh yake Ladha halisia ndo ninachojivuniia Mwonekano wake malighafi maridhawa, na mikato yake mtikasi ya jukwaa Kidesign naduwaa, Si mzaha Sultani ingekuwa BBA she deserves number One... Bridge: Ni wazi kwamba najidai napokuwa nae Maana ni Ma-bu*terflies anaponi-Hug Ghafla najikuta high sijapanda flight Shukrani kwa Ngai, AY nasema asantee eeeh (Hook) Verse 2: Nyuma ni zogo anapokatiiiza ..... Eeh Majumba mikoko vinahalaliiishwa......... Ee Macho kodo wanapiga zongo ila Bwana mdogo nimeshika soko Inanipa Joto maana shida ni upweke, unashinda jokofu Inanipa uhondo anavyoshika mlimwende Hata Bila promo Pretty girl ananik** k**, ananijaza hamu,msosi Wenye pili uuh nampa credibility kwa tabia na mwenendo amenibadili When am Back in town, watanibeep waliokua Hawapokei Cmu zangu Singojei simu Zao, wataningojea Back stage Si ndio day dream Zao Rocking with the best in town Vile Mi M-soldier Boy naye ni M-destined child Let me refresh my mind Juu Sasa na make up Vile nilibreak last time Bridge : Ni wazi kwamba najidai napokuwa nae Maana ni Ma-bu*terflies anaponi-Hug Ghafla najikuta high sijapanda flight Shukrani kwa Ngai, AY nasema asantee eeeh Repeat Hook:

You need to sign in for commenting.
No comments yet.