Elani - Barua Ya Dunia lyrics

Published

0 1583 0

Elani - Barua Ya Dunia lyrics

[Verse 1: Brian Chweya] Hujambo Salam Dunia, Ni Siku Nyingi Hatujaongea, Hizi Enzi, Mbona Huna Penzi, [Wambizzy] Nimekuandikia Barua, Ningeweza Ningekupigia, Geti Kali, Inalia, Machozi Ya Sifa, [Hook] Usinilenge, Juu Siku Moja Nitakulenga Pia, Usinicheke, Juu Siku Moja Nitakucheka Pia, Bobea Bobea, Bobea Bobea, Ngojea Nita Bobea Pia, Bobea Bobea, Bobea Bobea, Ngojea Nitabobea Pia, [Verse 2] Sina Mengi Ya Kusimulia, Ila Tu Ni Barua Ya Dunia, Aaaahh... Barua.. Mashinani Wan*lia lia, Umri Ndio Huo, Uzee Unaingia, Sina Fedha, Hisia Wala Njia Eh, Ya Kujitafutia, Nikimalizia Barua, Geti Kali Uwe Na Huruma, Mraia an*lia, Machozi Ya Simba, [Hook] [Bridge] Sina Mengi Ya Kusimulia.. Barua Ya Dunia... Mbona Hukunijalia, Dunia.... [Hook] [Outro: Brian Chweya] Sina Mengi Ya Kusimulia, Barua Ya Dunia, Barua....

You need to sign in for commenting.
No comments yet.