Diamond - Kulewa lyrics

Published

0 580 0

Diamond - Kulewa lyrics

We niache niende niende niende ni ende x2 {Verse 1} Usiniulize kwanini sababu utanizingua ukitakajiunge na mimi kama ni pesa we kunywa ntanunua... Mi mwanzo sikuamini nikajuaga vyakuzua Kumbe mjinga ni mimi ninayetunza wenzangu wanachukuwa.. (Oooh! Mapenzi) Mapenzi yalinifanya ka_mtoto nilie vibaya, mie siwezi kwa yalonikuta we niache niseme jina (Ooooh! Mapenzi) yalinifanya ka_mtoto nilie vibaya na nnamengi yamenikaa moyoni {Chorous} Leo nataka kulewa {Lewaaaaa} Mi nataka kulewa {Lewaaaaa} Nataka kulewa {Lewaaaaa} Zikipanda nimwage radhi....x2 We niache niende niende niende ni ende...x2 (Vearse II) Mi kwa mapenzi maskini Nikamvisha na pete nikamuoa kukata vilimilimi vya wazushi wanafki wanaomponda... kumbe mwenzangu na mimi ni bure tu najisumbua si tuko kama ishirini mabuzi ving`asti wengine anawaonga.. (Oooh! Mapenzi) yalinifanya ka_mtoto nilie vibaya, mie siwezi, kwa yalonikuta we niache niseme jina (Ooooh!) Mapenzi yalinifanya ka_mtoto nilie vibaya na nnamengi yamenikaa moyoni {Chorous} Leo nataka kulewa {Lewaaaaa} Mi nataka kulewa {Lewaaaaa} Nataka kulewa {Lewaaaaa} Zikipanda nimwage radhi....x2

You need to sign in for commenting.
No comments yet.